@doctor_mary.
WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
Kupitia ngono zembe
Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu
DALILI ZA P.I.D
Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
Uke kutoa harufu mbaya
Kuwashwa sehemu za siri
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
Uke kuwa mlaini sana
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kuvurugika kwa hedhi
Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
Maumivu wakati wa kukojoa
Homa, uchovu na kizunguzungu
MADHARA YA P.I.D
Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopo katika mirija ya uzazi
Kusababisha majera.
0 Comments