ONDOA SUMU MWILINI

 


@doctor_mary_na_uzazi.

1: Mwili kuwa msongo wa sumu nyingi, kunaweza kuathiri ukomavu wa mayai na kuathiri homoni za uzazi.


2: kuwa na kitambi na uzito Mkubwa.

 Unapokuwa na mafuta ya ziada na sukari ya ziada isiyotumika mwilini,


 huathiri  mwili na kuvuruga homoni za uzazi, hivyo inaathiri hata utendaji was ovari na kushindwa kukomaza mayai.


3:Mwanamke kuwa na magonjwa ya tezi za shingo na tezi Kwa ujumla, tezi ya thyroid ikipata shida hata ovari zinaathirika na kushindwa kukomaza mayai.


4:Mlo mbaya, wanawake kula vyakula ambavyo vinabomoa Afya.


5: Matumizi ya njia za kupanga uzazi kama sindano, vidonge,kijiti 


6: Kubadili mazingira ya kuishi, kunaweza athiri mzunguko wa hedhi.


7:Msongo wa mawazo.


8: Mwanamke kusumbuliwa na maambuki ya bacteria, fangasi, P.I.D.


9:Kufanya mazoezi magumu na kupitiliza.


Ukiona unapata tatizo la hedhi muhimu kuonana na daktari.


Ukiwa na matatizo binafsi, kuhitaji dawa za matatizo ya uzazi, nitumie ujumbe inbox.


0754990579

Post a Comment

0 Comments