Posted @withregram • @doctor_mary_na_uzazi.
SIFA ZA MWANAMKE ANAYEHITAJI KUPATA UJAUZITO
➡️Awe na Mwanaume ambaye mbegu zake zipo imara na zinaweza kurutubisha yai.
➡️Awe na mzunguko wa hedhi ambao haubadiliki badiliki
➡️Asiwe na Uvimbe kwenye kizazi.
➡️Asiwe na mirija iliyoziba
➡️Awe anapata ute wa uzazi kwenye siku zake za ovulation
➡️Awe anafahamu siku zake za hatari (ovulation days)
➡️Awe na umri 20-45.
➡️Asiwe na tatizo lolote linalohusisha mvurugiko wa homoni.
Je wewe ni SIFA ipi unaikosa?
Karibu unishirikishe niweze kukushauri.?
PIGA/WHATSAPP 0754990579 DOCTOR MARY
0 Comments