Posted @withregram • @doctor_mary_na_uzazi Posted @withregram • @doctor_mary_na_uzazi *DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE:*
Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini baada ya muda huona *madhara makubwa* yanayogharimu afya zao za uzazi.
Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo *hupaswi kuzipuuza* pale zinapokutokea.👇
1. Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,
2. Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,
3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje
ya uke,
4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,
5. Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,
6. Kuhisi kama kuna kitu kinasukumwa
kinachouma wakati wa tendo la ndoa,
7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,
8. Kupata maumivu makali sana wakati
wa hedhi,
9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,
0 Comments